Walalala eh bei ya unga si imevunja rekodi ya ugali kwanza imeshinda omanyala woiii na ndugu zetu waluya wanasurvive aje kuku wamefuga lakini ugali hakuna # imepanda bei na mahindi wao hao ndio wanalima😂😂😂😂