Maisha ni ngumu jameni,mara tunakosa chakula juu bei ya kununua iko juu sana.atimes we eat only once a day,chai ya asubuhi na chakula kidogo apo saa moja.. life is really hard.i don't know what to do.i haven't got a job to do..hapa ni kuvumilia Tu...mmmmmm