Namiss kutumwa vitu kwa duka after nimepewa 10bob ya transport ninunue mandazi. Nlikua nafika kwa duka sijui kitu nimetumwa though najua kuna ten lazima ibaki nichukue nayo mandazi
Wueeeh hiyo in noma mtoto wako akifanya hivyo uelewe tuu.Ushatumwa duka kukopa eish hapo inabidi umegonga na mawe ndio mwenye duko akam. Ni zile duka zimeshikishwa kwa nyumba