Mbona saa zile unastrugle kumake pesa ndio huipati kabisa ama nini inaendelea kweli someone help plz
Minsari Member KCr. 5.00 Jun 27, 2022 #1 Mbona saa zile unastrugle kumake pesa ndio huipati kabisa ama nini inaendelea kweli someone help plz
S Six30 Member KCr. 4.00 Jul 1, 2022 #2 Halafu kuna watu joh wako tu na wa naearn kuearn banaa life is not fair