Morning Vibe

Deno Sparta

Member
KCr.
0.00
Tukifika Canaan sitaki mchanganyikiwe, kila mtu ashike tribe yake:..,🤔🤭
Walevi mtakuwa Waleviticus🍾😂
Wale wa kuitana baby mtakuwa Babylonians💖😂
Wa kuvaa hood mtakuwa Wayahudie😂
Madem wakona haga bigibigi wakuwe Haggai😂
Wale wa kupenda salon watakuwa Thessalonians😂
Waluhya wa ugali ndio Wagalileyo😂
Na pia hawa wakikuyu wa besha Farifari watakuwa Wafarisayo💔💖
Alafu sisi mafisi tukuwe Wafilisti😂✊💯
Na pia naskia hiyo siku ya mwisho hatutavaa ngotha juu tutapitia Golgotha😂

Weekend kanaita mbona mko dull ivo😂😂
 
Top