Broken news

Vanisher

New Member
KCr.
0.00
Hivi sasa ni saa mia moja dakika millioni moja sekunde hamsini kwa majina ni mchina jaconda miguu ya bata masikio ya umbwaaa matangazo ya vifo chumbwiza chumbwiza chubwi chubwi enhe samaki kamwe wa maji baridi baada ziwa turkana kuleta maji moto mazishi yatangaziwa hotpot pilipili hoho dania mchele sahani na kijiko matanga yatafanyika mdomoni mwili kuchukuliwa tumboni kisha kuzikwa Chooni sirudiii dada mmoja kapigwa busu na kombamwiko wa mtaani sirudiii.kwa upande mwingine kijana mmoja kagongwa na lori pale kona mbaya lori imepelekwa hospitalini baada kuandikiwa sindano ya tetanus naye kijana yumo gerejini kuchomelewa pua sirudii nasikitika kuwatangazia kifo cha mzee maharagwe kakake mahindi mama sufuria mazishi yatafanyika Kesho saa saba jioniii hata awe fundi mkali hawezi repair broken news..wahenga na wahenguzi hawakutuvalisha chupi za mbao waliponena ya kuwa mbwa wa mekanika hali spanaa mchina jaconda sad nation tv..
 
Top