• How Credits (KCr.) are Awarded.

    Simply share and discuss to earn more credits which can be claimed as airtime or cash through Mpesa.

    These are the activities that help you earn credits.

    Happy Listing!

Kuwaza tu

Currently reading:
Kuwaza tu

Jimdog

Active Member
KCr.
2.00
Nakaa nkiwaza, nmedishi lakini kuna morio mahali hajakula na ako freshi
Nmesimama naranda, nmevaa poa lakini kuna mzing ako ndethe na anaamini Mungu bado anafaa
Nmeona mengi, nko na macho zote kuna mtu anangangana kutembea juu hana yoyote
Nko mzima mzima, lakini bado nasumbuliwa na statistics ati every hour sijui four must die
Nafeel hio pain yao sijui kama mnanifeel ama ntasema aje ndo mniskie juu imefika point karao anakufuata toka Bank akiona kamistake anakuhanda ndo utoboke. Sijui ntasema aje lakini wababa wako soko so sijui manzi yako ako wapi leo, ama acha tu bro hujaoa mtu relax. Ni uchungu though ulidhani ni mali yako kumbe ni mali mali ya kwako. Iume leo isifike kesho na ulearn mapenzi saa ingine ni kifo. Pesa ndo love so saka chedda bruh
 
Last edited:
Top