Hii serikali ni kama inataka kuua Waluhya wamepandisha unga hadi mia mbili waaah.
Derohnel Member KCr. 40.00 Jun 18, 2022 #1 Hii serikali ni kama inataka kuua Waluhya wamepandisha unga hadi mia mbili waaah.
Jimdog Active Member KCr. 2.00 Jul 3, 2022 #2 Ni kama Kenyan government wanataka kupunguza waluhya ama kuwafukuza waende uganda😂
Derohnel Member KCr. 40.00 Jul 4, 2022 #3 Jimdog said: Ni kama Kenyan government wanataka kupunguza waluhya ama kuwafukuza waende uganda😂 Click to expand... Mwanaume anatuambia ati unga imeshuka na 2bob nkts.
Jimdog said: Ni kama Kenyan government wanataka kupunguza waluhya ama kuwafukuza waende uganda😂 Click to expand... Mwanaume anatuambia ati unga imeshuka na 2bob nkts.