Cheating Chronicles 1

Mkazighe

New Member
KCr.
4.00
Rafiki yangu alienda kwa chali yake akapata dera na heels, akaambiwa dera ni ya kupikia pilau na heels ni za kuchange bulb...total wickedness ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ why though๐Ÿ˜‚
 
Top