CHEKA KIDOGO

:ROFLMAO:Kuna mwizi mmoja huko mererani arusha. Alienda kuiba kwenye nyumba moja, kuiba alipofika akavunja mrango akaingia ndani alipofika ndani. Aka kosa cha kuiba. Hile kuangalia pembeni. Akaona vinyama nyama kwenye sufuria. Akaamua kuonja njama kidogo, akaona nitamu akaamua kura zote.
Ile anatoka nje ndio akaona kuna bango kubwa limeandikwa CHUMBA CHA UKEKETAJI WANAWAKE :eek::rolleyes:
mwizi kuona vile akazimia palepale unazani amekula nini,:ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO:
 
Nyama😂😂
 
Top