Kenya yetu ma con ni wengi.everywhere you go utapata mtu anataka pesa yako na lugha na ma offers tamu.this is just a message to all here.its not different hakuwezi kosa cons so be careful of the offers here,fanya due diligence and if the deal is too good think twice.uska kuje ku complain Kwa site ju uli conniwa na mtu apa.in short just be careful.