Deno Sparta
Member
- KCr.
- 0.00
Tukifika Canaan sitaki mchanganyikiwe, kila mtu ashike tribe yake:..,
Walevi mtakuwa Waleviticus
Wale wa kuitana baby mtakuwa Babylonians
Wa kuvaa hood mtakuwa Wayahudie
Madem wakona haga bigibigi wakuwe Haggai
Wale wa kupenda salon watakuwa Thessalonians
Waluhya wa ugali ndio Wagalileyo
Na pia hawa wakikuyu wa besha Farifari watakuwa Wafarisayo
Alafu sisi mafisi tukuwe Wafilisti
Na pia naskia hiyo siku ya mwisho hatutavaa ngotha juu tutapitia Golgotha
Weekend kanaita mbona mko dull ivo