Master kitaa
Member
- KCr.
- 9.00
Kila nikisomaga biblia nazidi kumchukia shetani eti alimwambia yesu. Abadilishe mawe kuwa mikate sasa sisi tungejengea nini maana yesu. Angebadilisha mawe kuwa mikate tungejengea nyumba mikate sasa unakuta mtu anakudai umeshindwa kumlipa anakuja na kikombe cha chai anakula nyumba nzima.
master-kitaa.com
master-kitaa.com