What are your favorite highschool moments๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tena sana, kwanza kama mko na tournaments chuo ingine ikam kwa yenu ama venue ikue far yenye inabidi muende na basi๐Ÿ˜…unaskia ni kama utararuka coz ya excitement ๐Ÿ™Š
 
Top