Qatar inakaribia nani ako na connection😂
Jimdog Active Member KCr. 10.00 Jun 30, 2022 #5 Nlikua naona malinks zinasema ooh participate and win a ticket for two to Qatar. Nangangana bana God will do it I know shida nifike huko nikose ya kuingia nayo stadium ghaaai. Nitakufa on the spot akii
Nlikua naona malinks zinasema ooh participate and win a ticket for two to Qatar. Nangangana bana God will do it I know shida nifike huko nikose ya kuingia nayo stadium ghaaai. Nitakufa on the spot akii