Robizna254
Active Member
- KCr.
- 0.00
Ukipika mayai,,usitupe shells... follow this simple instructions.....
1:weka shells zako kwa bakuli
2:tafuta roller ya Chapo ubondabonde hizo shells
3
ngeza chumvi kijiko moja na jug moja ya maji
4:washa gas au jiko
5:weka mchanganyiko kwa sufuria
6:cook for ten to fifteen minutes...
7:chukua hizo vitu umepika na uzimwage kwa dustbin juu hata Mimi cjui unapika nini.......π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈ