Kenyan Memes

Kumbe mtu huumwa hivi akinyimwa. 😭😭💔Nijikute tena nikiomba lift hii Mombasa🙆🙆🙆
Replies
0
Views
162
Valentine ni ya madem weupe nyie wengine tukutane site
Replies
0
Views
145
The way female banker explain account opening is so sexy They will be like "I will open it for you so you can put something inside ok?whether big or small just put something"
Replies
0
Views
258
Si mtu anitumie ile song latest ya Rose Muhando ya sipangwingwi😏😏😏😏 naskia ni Soo touching
Replies
0
Views
215
I Promise To Buy airtime For The Person That Can Arrange This Sentence🌹🌹 “Don't airtime I Your Want”😂😂😂
Replies
0
Views
208
Uliwahi tumwa mafuta taa ya 100..then unaona ununue kangumu mbili that's 10/😁alafu uendee mafuta ya 90bob...kidogo kidogo unafika unapata place ya mafuta imefungwa..?my friend apo ndo unatafuta mafuta hadi"chemist"😂😁
Replies
0
Views
481
Kulingana na grade yako ya KCSE inafaa uishi wapi 😂 Me E_ethiopia
Replies
0
Views
332
""𝑫𝒆𝒎 𝒚𝒂𝒌𝒐 𝒂𝒏𝒂𝒛𝒖𝒏𝒈𝒖𝒌𝒂 𝒌𝒖𝒔𝒉𝒊𝒏𝒅𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒏𝒐𝒂 𝒗𝒊𝒔𝒖𝒖 𝒖𝒂𝒏𝒈𝒂 (𝑩𝑨𝑫)-----😂😂😂,,,"" """𝑴𝒅𝒂𝒕𝒚 𝑳𝒂𝒊𝒗🚔🚔🚔,,,, """#23 𝑼𝒏𝒈𝒆𝒎 🦺🦺🦺,,,"" ""𝑺𝒕𝒊𝒍𝒍 𝑴𝑰𝑹 𝑼𝑵𝑹𝑼𝑳𝑳𝒀,,,"""✊
Replies
0
Views
173
DEM:Honey leo nalala na NJAA. BOY:Huyo NJAA ni malaya Sana hata mimi Jana nililala naye. ✌️🤣🤣🤣
Replies
1
Views
355
Men must confirm 👌
Replies
4
Views
550
Kila nikisomaga biblia nazidi kumchukia shetani eti alimwambia yesu. Abadilishe mawe kuwa mikate sasa sisi tungejengea nini maana yesu. Angebadilisha mawe kuwa mikate tungejengea nyumba mikate sasa unakuta mtu anakudai umeshindwa kumlipa anakuja na kikombe cha chai anakula nyumba nzima...
Replies
2
Views
562
🤢Sio ati nimenyamaza..ni ww tu sikuongeleshi😂😂
Replies
0
Views
433
Hivi sasa ni saa mia moja dakika millioni moja sekunde hamsini kwa majina ni mchina jaconda miguu ya bata masikio ya umbwaaa matangazo ya vifo chumbwiza chumbwiza chubwi chubwi enhe samaki kamwe wa maji baridi baada ziwa turkana kuleta maji moto mazishi yatangaziwa hotpot pilipili hoho dania...
Replies
0
Views
609
Hivi sasa ni saa mia moja dakika millioni moja sekunde hamsini kwa majina ni mchina jaconda miguu ya bata masikio ya umbwaaa matangazo ya vifo chumbwiza chumbwiza chubwi chubwi enhe samaki kamwe wa maji baridi baada ziwa turkana kuleta maji moto mazishi yatangaziwa hotpot pilipili hoho dania...
Replies
0
Views
394
Hey guys it's queens wensday 😘😘 enjoy your day everyone 😍😍
Replies
1
Views
761
Pale primary school mwalimu alinipiga Kofi nikatoa damu akaapologise na 500 kumbe alikuwa amegonga kunguni🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ #Sparta memes
Replies
3
Views
788
EITHER UNUNUE JUMPERS NA SOCKS AMA UNUNUE PAMPERS FOR 2YEARS😂😂UNAPREFER GANI
Replies
3
Views
574
In the book of trouble Chapter 6vs1 It says "baby I have not seen my period since last MONTH" Can somebody read vs 2?? 😂😂😂😂😂
Replies
8
Views
967
Is there an app available that is easier to use to make memes? I want to know because I'm indention to join this field so that I can try my lack and which is the best phone to use. Jaribuni mnitoe taka kwenye maskio manake la muhimu ni kisaidiana.
Replies
2
Views
595
I have just finished reading the ten commandments this evening, let me tell you guys, Nobody is going to heaven.😂😂 Prove me wrong?
Replies
4
Views
707
Kumbe MTU AKIANZA KUPATA DOO ANAKATIWA IVI SANA? 🤔🤔 Kama sai NIMEKATIWA YA MBAO baadae Tena ya MBAO. HII MUTURAA WEWE 🤭😋
Replies
2
Views
552
Good morning, kindly watch my latest comedy,like, comment, share and don't forget to SUBSCRIBE if you are yet to. Barikiwa
Replies
0
Views
412
Top